Picha: Usain Bolt atua Dortmund na kuanza mazoezi ya kuingia rasmi kwenye soka
Usain Bolt amedhamiria kuingie kweli kwenye mchezo wa soka ili kutimiza ndoto zake. Baada ya mwezi January ya mwaka huu Bolt kutua Afrika Kusini na kufanya mazoezi kwenye klabu ya Mamelodi Sundowns,...
View ArticleUEFA YAFANYA MABADILIKO KATIKA MICHUANO YA KLABU BINGWA ULAYA
Shirikisho la soka barani Ulaya UEFA limefanya baadhi ya mabadiliko katika michuano ya klabu Bingwa Ulaya na Europa League, mabadiliko hayo yataanza msimu ujao 2018/19.  Timu zitaruhusiwa kufanya...
View ArticleEDDY KENZO AWANYOOSHA MASTAR 7 WA AFRICA.
Ikiwa ni wiki moja tangu Hitmaker wa Kiseera Eddy Kenzo kutoka +256 Uganda, kuibuka mshindi katika tuzo kama ‘Best African Entertainer’ katika toleo la 36 la International Reggae and World Music Awards...
View ArticleTOP 5 YA NYIMBO ZA BONGOFLEVA ZINAZOTREND KATIKA MTANDAO WA YOUTUBE (27/3/2017)
Ikiwa leo ni Jumapili mwishoni mwa wiki hiki ndicho kilichopo Youtube :-1.Nibebe - Aslay kwenye mtandao wa youtube top trending in Tanzania ipo Namba 62. Beka Flavour Feat Mr Blue - Tuwesare top...
View ArticleMAFANIKIO YANGU YAMETOKANA NA WHITNEY HOUSTON:- VANESSA MDEE
Mmiliki wa Albamu ya "Money Modays"Vanessa Mdee, afunguka siri ya mafanikio yake yametokana na Hayati Whitney Houston kwa kuwa familia yake ilikamilisha ndoto za kuonana na aliyewahi kuwa mwanamuziki...
View ArticleHATUA ZILIZOCHUKULIWA NA AZAM FC BAADA YA KUTOLEWA FA
Mabingwa wa soka Afrika mashariki na kati Azam FC wametangaza kuhamishia nguvu zao katika mshike mshike wa ligi kuu ya soka Tanzania bara, baada ya kuondolewa kwenye michuano ya kombe la shirikisho...
View Article