Quantcast
Channel: CHIMBUKO LETU
Viewing all articles
Browse latest Browse all 911

EDDY KENZO AWANYOOSHA MASTAR 7 WA AFRICA.

$
0
0


Ikiwa ni wiki moja tangu Hitmaker wa Kiseera Eddy Kenzo kutoka +256 Uganda, kuibuka mshindi katika tuzo kama ‘Best African Entertainer’ katika toleo la 36 la International Reggae and World Music Awards (IRAWMA) zilizofanyika nchini Marekani.

Weekend hii pia, Star huyo amewanyoosha Diamond Platinumz, Davido, Semenya wa South Africa na Casper Nyovest etc.

Hii ni baada ya kutangazwa mshindi katika tuzo kubwa za "Nickelodeon Kid's Choice Awards 2018, kwenye category ya "Favorite African Star", California marekani.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 911

Trending Articles