NAIBU WAZIRI WA AFYA AENDELEA KUITAMBULISHA PROGRAMU YA ‘KIKUNDI MLEZI’
Naibu Waziri wa Afya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt. Faustine Ndugulile ameendelea kuitambulisha programu ya ‘Kikundi Mlezi’ yenye lengo la kuwawezesha wanawake wajasilimali kuwa na...
View ArticleROSA REE NI NAMBA MOJA TANZANIA KWA WASANII WA KIKE WA HIPHOP:- OMG
Kwenye Bongo Flava music industry unaendelea kujivinjari kuisikiliza na kuitazama "Mwanangu na Wanao" mradi mpya kutoka Kundi la Hiphop linalokuja kwa kasi OMG Tanzania wakiwa wamemshirikisha Female...
View ArticleNAPENDA KUONA VIJANA WENZANGU WAKIFANIKIWA;- BEN POL
Hitmaker wa Bado Kidogo Ben Pol ameeleza msimamo wake, wakutaka kuona vijana wakifanikiwa nasio kukata tamaa na kuendelea kulalamikia hali ngumu ya maisha.Ben Pol ametudele kuwa dundo la Bado kidogo...
View ArticleTUZINGATIE MAADILI KWENYE MAJINA YA NYIMBO ZETU:- RAMA DEE
Mkali wa RnB Tanzania Rama Dee awashauri wasanii wenzake kuazingatia maadili katika ubatizaji wa majina ya nyimbo zao.Rama Dee ambaye ambaye amefanikiwa kufungua mwaka 2018, kwa kuachia ngoma mpya...
View ArticleBONGO FLAVA HAIJAFA VIJANA WANAITENDEA HAKI:- ALIKIBA
Mkali wa Seduce Me na Mmiliki wa Recording Label ya King Music, Alikiba ameipaisha Bongo Flava ya kizazi cha sasa nakudai bado iko hai na wasanii vijana(chipukizi) wanaitendea haki na kuongeza chachu...
View ArticleMANCHESTER UNITED YAWEKA KITITA CHA PAUNDI MILIONI 25 KUMNASA STAA HUYU WA PSG
Klabu yenye mashabiki lukuki Dunia Manchester United yenye masikani yake Nchini Uingereza imetenga kiasi cha fedha paundi milioni 25 ili kuweza kuinasa sahihi ya Winga raia wa Brazil Lucas Moura...
View ArticleUNAIJUA HATARI YA KUVAA VIATU VYAKO BILA SOKSI?
Ukivalia viatu vyako bila soksi unajiweka katika hatari ya makubwa zaidi kuliko kunuka kwa miguu pekee.Chuo cha tiba ya miguu nchini Uingereza kinasema karibuni kumekuwa na ongezeko la maambukizi ya...
View ArticleMATAIFA AMBAYO WATU WAKE HUISHI MAISHA MAREFU
Utafiti uliofanywa unaonyesha kuwa, wananchi wa Japan, Uhispania, Uswisi na Korea Kusini wanaishi maisha marefu zaidi ikilinganishwa na watu wa maeneo mengine katika pembe mbalimbali duniani.Utafiti...
View ArticleUCHAWI WAMPONZA LUKAKU KWA BOSI WA EVERTON
Mshambuliaji wa timu ya taifa ya Ubelgiji na klabu ya Manchester United, Romelu Lukaku anakusudia kumfikisha mahakamani mmiliki wa Everton Farhad Moshiri kufuatia madai yake kuwa mchezaji huyo aliamua...
View ArticleSHILOLE KUANZA MWAKA NA MCHAKAMCHAKA.
Mrembo kutokea kwenye Muziki wa Bongoflava Zuwena Mohammed a.k.a Shilole kuanza mwaka 2018, kwa kishindo cha ngoma mpya iitwayo mchakamchaka anayoipa sifa kuwa ina ladha ya kipekee."Baada ya Kigori...
View Article