Mrembo kutokea kwenye Muziki wa Bongoflava Zuwena Mohammed a.k.a Shilole kuanza mwaka 2018, kwa kishindo cha ngoma mpya iitwayo mchakamchaka anayoipa sifa kuwa ina ladha ya kipekee.
"Baada ya Kigori kutesa, ngoma yangu mpya nitaachia wakati wowote mashabiki wangu wake tu attention kwa sababu nina mkwaju mkali sana sana sana sana....... inaitwa mchakamchaka, so very soon watasikia katika masikio yao na nahitaji support yenu ma-presenter na mashabiki wangu kuipokea nyimbo yangu hiyo mpya itakayotoka hivi karibuni nashushukuru sana"amesema Shilole.