DOWNLOAD NGOMA MPYA KUTOKA KWA CHRIS BEE
Mdau wa muziki unaweza Ku-download wimbo huu mpya kutoka kwa Chris Bee hitmaker wa WALA kupitia link ifuatayo https://mkito.com/artist-profile/chris-bee/475
View ArticleMagazeti ya leo Ijumaa July 11 2014
.Kama kawaida millardayo.com inakupa vichwa vya habari vya magazeti yote ya kila siku. Leo pia kuna headline mpya kwenye magazeti mbalimbali. Chukua muda wako kupitia kila kilichoandikwa kwenye kurasa...
View ArticleRipoti mpya yatolewa kuhusu kuzuia malaria na afya ya mama na watoto
Kusikiliza / HamishiaRoll back Malaria(RBM)Picha ya Benjamin Schilling/PSIRipoti mpya inayoonyesha faida za kupambana na malaria kwa afya ya akina mama na watoto imezinduliwa leo kwenye hafla maalum...
View ArticleMWALIMU ASIYE NA TAALUMA AFUNDISHA KUANZIA DARASA LA AWALI MPAKA DARASA LA...
Mwalimu Laiton Jackson Ngoli(46)wa shule ya awali Kijiji cha Maendeleo Ishungu Kata ya Ruiwa Wilaya ya Mbarali Mkoani Mbeya amejikuta katika wakati mgumu baada ya kufundisha watoto zaidi 300. Shule...
View ArticleTETESI ZA USAJILI SOKA ULAYA
Arsenal wamepata matumaini zaidi ya kumsajili Sami Khedira, 27, baada ya kiungo huyo kukataa kusaini mkataba mpya na Real Madrid (Daily Star), Arsenal pia wapo katika mazungumzo ya kumsajili Loic Remy...
View ArticleLIVERPOOL NA BARCA WAKUBALIANA JUU YA SUAREZ
Liverpool wamefikia makubaliano ya kumuuza Luis Suarez kwenda Barcelona. Ada ya uhamisho inadhaniwa kuwa takriban pauni milioni 75. Suarez alijiunga na Liverpool mwaka 2011 akitokea Ajax, kwa pauni...
View ArticleFIFA YATANGAZA WATAKAOWANIA TUZO YA MCHEZAJI BORA
Fifa imetangaza orodha ya majina 10 watakaowania tuzo ya mchezaji bora katika michuano ya Kombe la Dunia - 2014 Golden Ball. Wachezaji watatu wametoka Argentina, Angel Di Maria, Javier Mascherano na...
View ArticleWAKALA WA TOURE ASEMA UBAGUZI UNAMUATHIRI
Wakala wa Yaya Toure amedai kuwa sababu ya kiungo huyo wa Manchester City kutoshinda tuzo zozote kubwa ni kwa sababu ya rangi yake ya ngozi. Wakala huyo, Dmitri Seluk amesema kiungo huyo raia wa Ivory...
View ArticleTETESI ZA SOKA ULAYA
*Di Maria 'kuitosa' Man U *Liverpool kusajili wengine SITA *Suarez kukatwa mshahara akirudia 'mchezo wake' Juventus wanajipanga kutoa pauni milioni 20 kumchukua Paulinho, 25, kutoka Tottenham, hatua...
View ArticleBreaking Newz:- Mh. Joseph Mbilinyi (Mr. 2 a.k.a Sugu) Mbunge wa Jimbo la...
Exclusive intel ni kwamba Mh. Joseph Mbilinyi (Mr. 2 a.k.a Sugu) Mbunge wa Jimbo la Mbeya Mjini amekubali kuwa mgeni rasmi siku ya uzinduzi wa Mixtape ya LIL STIGGAR ya Rise and Shine. Hope to see u...
View ArticleTETESI ZA MICHEZO ZILIZOJIRI MIDA HII...
Meneja wa Chelsea Jose Mourinho inaarifiwa amempigia simu kiungo wa Real Madrid Sami Khedira kujaribu kumshawishi mchezaji huyo wa Ujerumani kwenda Darajani badala ya Arsenal, limesema shirika la...
View ArticleBOFYA HAPA KUONA MATOKEO YA KIDATO CHA SITA NA UALIMU
MATOKEO YA KIDATO CHA 6 2014 YATANGAZWAMatokeo ya mtihani wa kidato cha 6 yaliyofanyika tarehe Mei 5 – 21, yametoka.Jumla ya watahiniwa 38,905 sawa na asilimia 95.98 ya...
View ArticleRecho Afunguka Kuhusu Kutoka Kimapenzi Na T.I.D Mnyama
Msanii wa muziki wa kizazi kipya, Winfrida Josephat maarufu kama Rachel, amekanusha uvumi kuwa anatoka kimapenzi na mkongwe wa Bongo Fleva, Khalid Mohamed ‘TID’. Msanii wa muziki wa kizazi kipya ambaye...
View ArticleREAL MADRID YATAJWA NA FORBES KUWA TIMU TAJIRI ZAIDI DUNIANI
Klabu ya mpira wa Miguu ya Real Madrid yenye maskani yake nchini Uhispania imeongoza katika orodha ya Forbes ya timu zenye thamani zaidi duniani. Real Madrid, walioshinda Champions League mwezi Mei,...
View ArticleWatu milioni 19 kati ya milioni 35 hawajui kama wana virusi vya HIV:UNAIDS
Kusikiliza / HamishiaMkurugenzi Mtendaji wa UNAIDS, Michel Sidibé,@UNAIDSRipoti mpya ya Shirika linalohusika na HIV na Ukimwi, UNAIDS, imeonyesha kuwa takriban watu milioni 19 kati ya watu wapatao...
View ArticleMBUNGE VITI MAALUM MKOA WA MBEYA, DR.MARY MWANJELWA, ATIMIZA AHADI YA VIJANA...
MBUNGE viti maalum mkoa wa Mbeya, Dr, Mary Mwanjelwa, akifurahia jambo na kocha mkuu wa timu ya Isyesye FC, Steve Kasalila (KULIA) na Katibu wa wanawake wa CCM kata ya Isyesye, Zainab Kessy(KULIA)....
View ArticleKurasa za mwanzo na mwisho Magazetini leo Ijumaa July 18 2014
.Kama kawaida millardayo.com inakupa vichwa vya habari vya magazeti yote ya kila siku. Leo pia kuna headline mpya kwenye magazeti mbalimbali. Chukua muda wako kupitia kila kilichoandikwa kwenye kurasa...
View ArticleEXCLUSIVE;- DOWNLOAD NA SIKILIZA NGOMA YA CHRIS BEE
Mdau unaweza kununua wimbo wangu kwa SHILINGI 250 kupitia MPESA/TIGO PESA/VISA/MASTERCARD/PESAPAL na unaweza Ku-download wimbo huu mpya kutoka kwa Chris Bee hitmaker wa WALA kupitia link ifuatayo...
View Article