Magazeti ya leo July 24 2014
.Kama kawaida millardayo.com inakupa vichwa vya habari vya magazeti yote ya kila siku. Leo pia kuna headline mpya kwenye magazeti mbalimbali. Chukua muda wako kupitia kila kilichoandikwa kwenye kurasa...
View ArticleWahukumiwa kuchomwa lips na sigara baada ya kula mchana wakati wa Ramadhani,...
Watu sita wamehukumiwa kuchomwa lips zao kwa sigara hadharani baada ya kukutwa wakila chakula mchana katika kipindi hiki cha Ramadhani.Kati ya watu hao sita, mmoja amebainika kuwa sio muumini wa dini...
View ArticleBusta Rhymes ajiondoa YMCMB, aeleza sababu za kutoka kwake.
Busta Rhymes ametangaza kujiweka kando la label ya YMCMB baada ya kufanya nao kazi kwa kipindi cha zaidi ya miaka miwili.Busta ameweka wazi uamuzi wake wakati akifanya mahojiano na SiriusXM katika...
View ArticleBREAKING NEWZ;- PRODUCER DUPY ATOA OFA MAALUM KWA WASANII WACHANGA YA BEAT...
C.E.O & Producer wa Studio za UPRISE MUSIC kutoka jijini Dar es Salaam, James Lillai a.k.a DUPY au Kono la Chuma, ambaye anaadhimisha siku yake ya kuzaliwa Julai 31 ya kila mwaka, ametangaza Ofa...
View ArticleBREAKING NEWZ:- MASAA MACHACHE YAMESALIA YA UZINDUZI WA RISE & SHINE MIXTAPE...
Masaa machache yamesalia ya uzinduzi wa Rise & Shine Mixtape ni kanda mseto ya Mwanamuziki LIL STIGGAR inayosubiriwa kwa hamu na mamilioni ya Watanzania, ambayo imebebwa na vionjo mbalimbali...
View ArticleKIPYA KILICHOMKUTA SUMA MNAZALETH MKAZI WA CHUNYA UPO TAYARI?
Wakazi wa Chunya mpo tayari, Msanii SUMA MNAZALETI a.k.a Mkali wa Chukua Time anadondoka huko katika msimu huu wa Nanenane Show ya kwanza ni pale Makongolosi Tarehe 7/8/2014 katika Ukumbi wa DAUDI...
View ArticleNavas chaguo la kwanza Real Madrid, amgaragaza vibaya Casillas
Siku moja baada ya kusajiliwa na mabingwa wa soka barani Ulaya, Real Madrid akitokea kwenye klabu ya Levance kwa ada ya uhamisho wa Euro million 10, mlinda mlango kutoka nchini Costa Rica, Keylor...
View ArticleMtoto anyonye maziwa ya mama pekee miezi sita ya mwanzo: UNICEF
Kusikiliza / HamishiaWakati wiki ya unyonyeshaji watoto maziwa ya mama duniani ikiwa inaendelea Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Watoto UNICEF limekumbusha umuhimu wa kunyonyesha watoto ili...
View ArticleEXCLUSIVE:- KAA TAYARI KWA VIDEO YA WIMBO WA WALA WALA WA CHRIS BEE WAKATI...
Msanii & Mtangazaji CHRIS BEE hitmaker wa Wala/Wala wala akiwa na Director wa Mashada Inc Video Production KIKUNIZO, kaa tayari kwa Video mpya ya WALA WALA kuanzia kesho tarehe 6 mwezi huu. Kama...
View ArticleKurasa za mwanzo na mwisho magazetini leo August 06 2014
..............................
View ArticleCindy Rulz atajwa kuwania tuzo za Marekani 'UMA'
Rapper wa kike toka Tanzania Corrine Mary a.k.a Cindy Rulz ametajwa kuwania tuzo za Underground Music Awards (UMA), zinazotelewa nchini Marekani.Cindy Rulz ndiye msanii pekee wa kike aliyetajwa kuwania...
View ArticleMagazeti ya leo August 8 2014 Udaku, Michezo na Hardnews
............................................
View ArticleMPIGIE KURA CINDY RULZ ASHINDE TUZO ZA UMA's:- BEST INTERNATIONAL ARTIST.
Rapper wa Kike kutoka Tanzania Corrine Mary a.k.a Cindy Rulz ameteuliwa kuwania tuzo za Underground Music Awards UMA's za nchini Marekani SWAHILI:- Kumpigia kura Cindy Rulz katika Tuzo za UMAs katika...
View ArticleMCHEZA FILAMU WA MAREKANI AKUTWA AMEFARIKI
Muigizaji maarufu wa Marekani Robin Williams, 63, amekutwa amekufa, katika kile kinachodhaniwa kuwa ni kujiua, wamesema polisi wa California. Polisi wa kaunti ya Marin wamesema alitangazwa kuwa...
View ArticleAudio: Kuhusu msiba wa aliyekuwa mke wa Afande Sele, hali ya afya ya Afande...
Aliyekuwa mke wa Afande Sele (Waliachana baadae) aliyezaa nae watoto wawili (Tunda na Sanaa) amefariki majira ya sita usiku wa kumkia leo.Akiongea na tovuti ya Times Fm kupitia simu ya Afande Sele,...
View Article