Exclusive intel ni kwamba Mh. Joseph Mbilinyi (Mr. 2 a.k.a Sugu) Mbunge wa Jimbo la Mbeya Mjini amekubali kuwa mgeni rasmi siku ya uzinduzi wa Mixtape ya LIL STIGGAR ya Rise and Shine.
Hope to see u there - come to enjoy na upate chance ya ku-hang out na our Mbunge.