WACHEZAJI 20 MAKINDA WANAOSUMBUA LIGI KUU MBALIMBALI BARANI ULAYA
HUKU Ligi Kuu barani Ulaya zikiendelea, tayari baadhi ya wachezaji wameonyesha uwezo wao mkubwa kutokana na namna wanavyozisaidia timu zao.Hapa ni makinda 20 Bora ambao wana umri chini ya miaka 22...
View ArticleHASARA ZA USHAURI WA KIMAISHA KWA RAFIKI
WATU wengi wamekuwa wepesi sana kukimbilia kwa rafiki zao ili kuomba msaada wa mawazo ya nini wafanye kwenye maisha na hasa wakati wa shida. Imani iliyojengeka kwa wengi katika jamii yetu ni kuwa,...
View ArticleNEW SONG:- Jason Derulo-TIP TOE Remix ft Rayvanny X French montana
Ile collabo makini ya Kimataifa iliyokuwa ikisubiriwa kwa muda mrefu kati ya Jason Derulo kutoka Marekani na Rayvanny kutoka Tanzania, imekwisha kuwa release na katika kunogesha Collabo hiyo Rapper...
View ArticleMIMI NI MSANII BORA WA MUDA WOTE - DULLY SYKES.
The Bongoflava Legend Dully Skyes, amefunguka kuwa yeye ndie msanii bora wa muda wote na anachukizwa na vitendo vya kiki na matumizi ya dawa za kulevya.“Kila kitu kuanzia uvaaji, kunyoa vile nilivyo...
View ArticleMANDHARI YA TANZANIA TUITANGAZE KIMATAIFA KUPITIA VIDEO – CRAZY GK.
Rapper King Crazy GK amesema ni busara kwa wasanii wa Bongo Flava kutangaza vivutio vilivyopo Tanzania katika video zao badala ya kutangaza mazingira na vivutio vya mataifa mengine.Kupitia kipindi cha...
View ArticleHARUNA NIYONZIMA AENDA INDIA KWA AJILI YA MATIBABU
Baada ya Mchezaji wa Klabu ya Simba Haruna Niyonzima kukaa nje ya Uwanja kwa Juma kadhaa kutokana na kuwa Majeruhi sasa ameenda Nchini India kwa ajili ya Matibabu ya Mguu wake wa kulia...
View ArticleIFAHAMU REKODI MPYA ALIYOIWEKA MSANII DAVIDO.
Mwanamuziki Nguli kutokea +234 Nigeria David Adedeji Adeleke a.k.a Davido amepokea Diamond Plaque na Platinum Plaque kutokana na mauzo mazuri ya kazi zake mbili za IF na Fall.Kwa mujibu wa chama cha...
View ArticleVANESSA MDEE AFUATA NYAYO ZA ALIKIBA, OMMY DIMPOZ NA BEN POL
vanessamdeeFresh outta Wakanda #WakandaFever#TatizoLaWengiMmekaririKilaKituHadiNywele#MnatakaKunipangia#NikiwaNaNyweleZaKuvaaMnasema#NikivuaMnasemaSasaNasemajeBeniAmefarijikaaavanessamdeeYou cop the...
View ArticleANTONIO CONTE AMTETEA CHRISTENSEN
Beki wa Chelsea Andreas Christensen amejikuta kwenye wakati mgumu kutoka kwa wachambuzi wa soka na mashabiki wa Chelsea baada ya kutoa "boko" lililowagharimu Chelsea goli moja lililowapa sare...
View ArticleHAYA NI MAMBO 10 MUHIMU AMBAYO HUKUFUNDISHWA SHULENI...MUHIMU SANA KUYAFAHAMU
Kwa miaka zaidi ya 15 ambayo umekaa kwenye mfumo wa elimu umejifunza vitu vingi sana. Kwanza ulijifunza jinsi ya kusoma na kuandika, baadae ukajifunza vitu muhimu kwenye historia, jografia, sayansi na...
View ArticleUNASUMBUKA NA HANGOVER? TUMIA NJIA HII KUIMALIZA. TIBA!!!
Inawezekana wewe ni kati ya watu wanaopenda kupiga vyombo (Pombe) kwa kiasi kikubwa, inawezekana ni starehe yako lakini unakerwa sana na hali unayoamka nayo asubuhi, hangover, wengine kwa kiswahili...
View ArticleNEW AUDIO:- ASLAY - NIBEBE
Young Talented Tanzanian Artist, Aslay Just Droped His New Jam Goes By The Name '#NIBEBE'. Download And Enjoy.. Kindly Drop Your Comment...! DOWNLOAD
View ArticleNEW VIDEO:- Rudeboy - Somebody Baby
Music video by Rudeboy performing Somebody Baby [Official Video]. Rudboy Records
View ArticleMATUMIZI SAHIHI YA GIA D, L, 2, 3 NA O/D KATIKA GARI AMBAZO NI AUTOMATIC
Fichuo inafahamu kuwa yawezekana wewe ni moja ya watu wanaopata shida katika matumizi ya GIA Automatic, kwanza ujue kabisa katika hali ya kawaida gari yako inapaswa kuwa katika D kwa maana ya Drive na...
View ArticleZIFAHAMU KAZI/AJIRA 10 ZENYE KUSABABISHA STRESS ZAIDI
Leo tunakufichulia ajira 10 ambazo husababisha msongo zaidi wa mawazo (STRESS). Kutokana na matamanio ya wengi kuona watu fulani wamefanikiwa kupitia shughuli wanazozifanya..kumekuwa na ombwe kubwa la...
View ArticleHizi Ni Sababu Kwanini Msanii Nelly Alikua anava plaster Kwenye Shavu
Karibu katika Kipindi Kipya cha Burudani kiitwayo EYO SITUKA....... Kinacholetwa kwako na Mtangazaji Fredoo Mbunji....... Na hapa anakudele "Sababu za Msanii Nelly kuvaa Plaster Kwenye Shavu".
View Article