Ile collabo makini ya Kimataifa iliyokuwa ikisubiriwa kwa muda mrefu kati ya Jason Derulo kutoka Marekani na Rayvanny kutoka Tanzania, imekwisha kuwa release na katika kunogesha Collabo hiyo Rapper French Montana ameongezwa katika mzigo huo.
Bofya hapa chini kuisikiliza na toa maoni yako.