MADEE AWASHIRIKISHA P UNIT KUTOKA KENYA KATIKA POMBE YANGU REMIX
Hitmaker wa Tema Mate tuwachape MADEE ambaye pia ni crew member wa Tiptop Connection ameeleza kuwa baada ya wiki moja track ya Pombe yangu remix itakuwa hewani akiwashirikisha kundi la Pro habo Unit...
View ArticleTAZAMA PICHA ZA AJALI YA GARI ILIYOMJERUHI PRODUCER DUPPY NA STUDIO YA UPRISE...
Producer DUPPY kutoka Studio za UPRICE MUSIC amepata ajali akiwa chumbani kwake amelala baada ya gari kugonga studio ya uprise music na chumba cha producer huyo anayefanya vema katika gemu la...
View ArticleBABY J WANAWAKE KUJIHUSISHA NA DAWA ZA KULEVYA TUNADIDIMIZA TAIFA LA KESHO
Hitmaker wa Bomoa Bomoa BABY J ametoa wito kwa vioo vya jamii hasa wasanii wa kike waliopo katika tasnia ya muziki na filamu kutojihusisha na biashara haramu ya madawa ya kulevya kwani wanaidhalilisha...
View ArticleDEDDY adai kuwa muziki wa Reggae na Dancehall utamfikisha kimataifa.
Mkali wa miondoko ya Reggae na Dancehall kutoka Bongo DEDDY ameelezea imani yake kuwa aina hiyo ya muziki utamfikisha katika nyanja za kimataifa kutokana na kuchanganya fleva za kikwetu na za wasanii...
View ArticleMWASITI:- Wasanii wanapaswa kujua ni muziki upi wanaweza kuufanya? Ili kuwa...
Mkali wa ngoma ya Mapito MWASITI amesema mkakati mkubwa wa mafanikio na kudumu katika music industry ni msanii kuchagua aina moja ya muziki ambao unaweza kuufanya na kujifunza zaidi. Akipiga stori...
View ArticleArticle 0
Mchekeshaji maarufu nchini Mohammed Abdallah a.k.a KINYAMBE anatarajia kufanya muziki wa Injili ambapo anayarajia kumshirikisha Mwimbaji wa miondoko hiyo nchini Medrick Sanga.Akipiga stori kupitia...
View ArticleTAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
STATE HOUSE ZANZIBAROFFICE OF THE PRESS SECRETARYPRESS RELEASE Zanzibar 31 Januari, 2014TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARIRais wa...
View ArticleTP Mazembe Wanasema Mbwana Samatta Ndio Mchezaji Bora Mwaka 2013
Mbwana Samata ambaye ni mshambuliaji wa Taifa Stars amepewa kura ya kuwa mchezaji bora wa mwaka 2013 na mashabiki wa TP Mazembe. Kwenye Mtandao wao tarehe 29 waliweka hio picha hapo juu na kuandika...
View ArticlePicha Na Info, Anachofanya Ali Kiba Na Producer Lamar Pale FishCrab
Legend wa Bongo Fleva mwenye heshima ya kutawala majukwa mengi ndani na nje ya Africa Ali Kiba ameonekana na ProducerLamar wa Fish Crab wakifanya kazi pamoja kukamilisha wimbo ambao mpaka sasa...
View ArticleSHAHIDI wa tatu katika Kesi inayowakabili Maaskari wawili na Raia watatu ya...
SHAHIDI wa tatu katika Kesi inayowakabili Maaskari wawili na Raia watatu ya unyang’anyi wa kutumia Siraha, Pasupuret Sreedhar ambaye ni raia wa India na Mhanga wa tukio hilo ameiambia Mhakama jinsi...
View ArticleDR SHEIN AWASILI INDIA
STATE HOUSE ZANZIBAROFFICE OF THE PRESS SECRETARYPRESS RELEASE Zanzibar 01 Februari, 2014TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI...
View ArticleVIONGOZI WA CHAMA CHA MAPINDUZI WATAKIWA KUWA KARIBU NA WANANCHI.
Mwenyekiti wa chama cha Mapinduzi CCM Dr, Jakaya Kikwete akiinua jembe na nyundu kwa maana ya nembo ya chama hicho mara baada ya kuingia uwanjani.Jakaya Kikwete alipokuwa akianza kutoa hotuba mara...
View ArticleCHELSEA, LIVERPOOL, ARSENAL WAJIANDAA KUISHTAKI MAN CITY KUVUNJA SHERIA YA...
Arsenal, Chelsea na Liverpool wanaweza kutumia kipengele kidogo kwenye sheria ya "financial fair play' ya UEFA ili kuibania Manchester City haki ya kucheza katika mashindano ya Champions league msimu...
View ArticleWASANII BONGO MOVIE WAJITOSA MBEYA KWENYE SHEREHE ZA MIAKA 37 YA CCM NA...
Mmoja wasanii Mwimbaji na Mwigizaji wa filamu,ajulikanae kwa jina la kisani kama Dokii akiimba mbele ya umati mkubwa wa wananchi na wanachama wa CCM waliofika kwenye sherehe za maadhimisho ya miaka 37...
View ArticleTOP C KUVUNJA MKATABA NA CANDY N CANDY RECORDS ADAI IMEJAA UBABAISHAJI
Msanii wa muziki wa kizazi kipya Tanzania TOP C katika poziMkali wa Lofa TOP C ambaye ni miongoni mwa wasanii waliopo chini ya management ya Candy n Candy Records ya nchini Kenyakwa madai kuwa kampuni...
View ArticleSHETTA ASEMA MWANAE QAYLLAH NI TULIZO LA STRESS
Shetta akiwa na mwanae Qayllah.Hitmaker wa “Sina Imani” Nurdin Billal a.k.a Shetta amedai kuwa anapokabiliwa na msongo wa mawazo basi mwanae aitwaye Qayllah humfariji sana.“Maisha mazuri na maisha bado...
View ArticleUTAFITI:NGONO YA MDOMO NI HATARI
Utafiti uliofanywa na Shirika la Afya Duniani (WHO) nchini umeonyesha asilimia 20 ya saratani ya koo husababishwa na ngono ya mdomo maarufu kama ‘Oral Sex”.Utafiti huo unaonyesha saratani ya koo licha...
View ArticleUN yalaani sera za kanisa katoliki
Umoja wa Mataifa umekuwa ukifuatilia visa vya mapadre kuwadhulumu watoto.Umoja wa mataifa umetuhumu makao makuu ya kanisa katoliki la Vatican kwa kuidhinisha na kutumia sera zilizowezesha mapadre...
View Article