MADADA SITA KUJA NA ZAWADI KWA KILA MDAU WA MUZIKI NA SHABIKI WA MUZIKI MZURI.
Baada ya kupokelewa vema na kujivunia mafanikio ya ngoma ya Matobo iliyoimbwa na kundi jipya la muziki wa Bongo Flava nchini Tanzania Madada Sita, Uongozi wa Mkubwa na Wanae unaolisimamia kundi hilo...
View ArticleHII NDIO MAANA YA MAMILOO, JAMBO SQUAD WAMEKUPA.
Baada ya ukimya wa miaka mitatu Kundi la muziki wa kizazi kipya lenye Maskani yake Jijini Arusha Jambo Squad wametu-bless na ngoma ya Mamiloo iliyotoka siku ya Jumatatu Februari 27, 2017.Pengine ukawa...
View ArticleEXCLUSIVE:- JAMBO SQUAD KUACHIA VIDEO YA MAMILOO USIKU WA LEO.
Washindi wa Tuzo ya Kikundi bora cha muziki wa Kizazi kipya kwenye Kili Music Awards mwaka 2013, Jambo Squad usiku wa leo Ijumaa ya Machi 3 wanatarajia kuachia video yao mpya ya Mamiloo.Kundi hilo...
View ArticleWAPOTEZA MAISHA NA KUJERUHIWA WAKING'ANG'ANIA CHAKULA ZAMBIA
Watu 8 wamepoteza maisha huku wengine 28 wakijeruhiwa katika mkanyagano na msongamano waking'ang'ania chakula cha msaada nchini Zambia.Taarifa ya polisi ya Zambia imesema kuwa, mkasa huo ulitokea jana...
View ArticleHUU NDI MUDA SAHIHI WAKUACHIWA KWA FILAMU MPYA YA CHEMICAL NA WEMA SEPETU
Female Rapper Chemical, anatarajia kuachia Filamu yake mpya iliyopewa jina la "Mary Mary" aliyofanya na msanii mkongwe wa filamu nchini na aliyewahi kuwa Miss Tanzania mwaka 2016 Wema Sepetu.“Kuna...
View ArticleTAMMY THE BADDEST AFUNGUKA KUHUSU MTOTO WA KIKE NA INAYOWALENGA.
Maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya wanawake Duniani hufanika kila mwaka Machi 8, baada ya umoja wa mataifa kuianzisha rasmi mwaka 1945 kwa lengo la kutetea haki, usawa na maendeleo ya wanawake, lakini...
View ArticleWASANII HAWA NDIO WALIOSHIRIKISHWA KWENYE ALBAMU YA WOMAN YAKE LADY JAYDEE.
Zikiwa zimesalia siku 21 kuachiwa kwa Albamu ya Saba ya Mwanamuziki nguli wa Bongo Fleva Lady Jaydee, iitwayo Woman imemfanya kuingia Chimbo na kuendelea kuisuka zaidi ili kuhakikisha mashabiki wake...
View ArticleDIAMOND AIZINDUA TOVUTI YA KUUZIA MUZIKI PINZANI KWA MKITO
Tovuti namba moja ya kuuzia muziki nchini, Mkito.com, imepata mpinzani mpya, Wasafi.com. Diamond Platnumz ameizindua rasmi website yake ya kuuzia muziki, si tu wa wasanii wa WCB, bali wasanii wengine...
View ArticleMKAA POA NI UTATUZI WA UHARIBIFU WA MAZINGIRA – MPINA
Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mhe. Luhaga Mpina akiangalia mkaa unaoendelea kuwaka moto katika jiko la mkaa ambapo mkaa huo unadaiwa kuwaka kwa masaa matatu.Wafanyakazi wa...
View ArticleNEW SONG:- MADADA 6 - BAKARI
Ngoma hii ni mpya na ya pili katika Music Industry kutoka kundi la Madada 6 inaitwa Bakaryimeandikwa na Mkurugenzi wa Mkubwa na Wanae Said Fella a.k.a Mkubwa Fella na wasanii wawili kutoka Yamoto Band...
View ArticleMSICHANA NA MWANAMKE MWENYE KIPAJI TANZANIA AJADILIWA KWENYE KIKAO CHA MKUBWA...
Label yaMkubwa na Wanae na Tanzania Bora Initiative wakutana katika kikao cha pamoja na kumjadili msichana na mwanamke au wanawake wenye vipaji katika kujiletea maendeleo.Mkurugenzi wa Mkubwa na Wanae...
View ArticleSina mpango wa kujiunga na chama chochote cha upinzani – Sophia Simba
Aliyekuwa Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake wa Chama Cha Mapinduzi (UWT), Sophia Simba(CCM), amevunja ukimya na kusema hana mpango wa kuhamia chama chochote pinzani huku akisema adhabu aliyoipewa na...
View ArticleZANZIBAR YAKUBALIWA KUWA MWANACHAMA MPYA CAF, ISSA HAYATOU AVULIWA URAIS CAF
Hatimaye Ahmad Ahmad kutoka nchini Madagascar amefanikiwa kumbwaga aliyekuwa Rais wa shirikisho la soka barani Afrika (CAF) Issa Hayatou katika uchaguzi mkuu uliofanyika leo nchini Ethiopia.Katika...
View ArticleMARUFUKU KUFUNGA NDOA BILA CHETI CHA KUZALIWA ASEMA WAZIRI MWAKYEMBE
Waziri wa Katiba na Sheria, Dk. Harrison Mwakyembe amepiga marufuku watu kufunga ndoa ya aina yeyote,iwe ya serikali, kimila au ya dini bila kuwa na cheti cha kuzaliwa kuanzia Mei Mosi, mwaka...
View ArticleEXCLUSIVE:- HII NDIO SABABU YA KUSHINDWA KUTOKA KWA ALBAMU YA BEN POL.
Mwezi Februari, 2017 ulikuwa wakati sahihi uliotangazwa na Mfalme wa RnB Tanzania Bernad Paulo a.k.a Ben Pol kuwa angeachia albamu yake ya pili iitwayo Ben Pol.Kupitia kipindi cha The Splash...
View ArticleNDEGE YA WANAWAKE PEKEE KUTOKA MALAWI YATUA TANZANIA
Shirika la ndege la Malawi, Malawi Airlines, limefanikiwa kukamilisha safari ya ndege iliyosimamiwa na wanawake pekee.Ndege hiyo imetua katika uwanja wa Mwalimu Julius Nyerere mjini Dar es...
View Article