$ 0 0 Baada ya Lady jatdee kusumbua siku kidogo zilizopita kwa kuweka picha za gari lake, Bob Junior nae ameamua kuweka picha ya gari lake aina ya Jeep Nyeupe.itazame hapa chini.